Crown Celebration – Mungu Muumbaji (Lyrics, Video & Mp3 Download)Crown Celebration - Mungu Muumbaji (Lyrics, Video & Mp3 Download)

Based In Africa, Popular Gospel Music Minister Crown Celebration Releases a New Song in November, 2021 Titled “Mungu Muumbaji” with Mp3/ Mp4 Download and Lyrics

This Song is an Undiluted Praise Medley that deserves your attention, Available on all digital platforms.


Click here to Download Audio


Mp3 & Audio Download for Crown Celebration – Mungu Muumbaji

Download Mp3

Mp4 YouTube Video

Mungu Muumbaji Song Lyrics

Mungu muumbaji,
wa mambo yote
Ni wee mwanzilishi
wa kila jambo
Una tawala
juu ya yote
Ukuu wako
hauna mwisho
Hapa tume amua leo
Kuinua jina lako juu
Yesu juu ya majina yote

Twashuka chini
Wee uinuke
Kama bendera
ya ushindi
Taji zetu
twatupa chini
Mbele ya mufalme
wa wafalme

Ufalme wako,
hauna mwisho
Uishi milele
Unatawala bingu
na inchi Uishi milele

Yelelelele

Mungu Muumbaji (Lyrics, Video & Mp3 Download)

Click here to Download Audio
Download Mp3

Leave a Comment