Dr Ipyana - Umejaa Neema
| |

Dr Ipyana – Umejaa Neema

Contents

Tanzania Gospel Music Minister “Dr Ipyana” Releases a refreshing New Song Titled “Umejaa Neema” with Mp3/ Mp4 Download and Lyrics.

This Song is an Undiluted Praise Medley that deserves your attention, Available on all digital platforms for free download.

Dr Ipyana - Umejaa Neema

Mp3 & Audio Download for Dr Ipyana – Umejaa Neema

Download Mp3

Mp4 YouTube Video

Lyrics: Umejaa Neema by Dr Ipyana

Umejaa neema Yesu
Umejaa neema
Umejaa neema Yesu
Umejaa neema

Umejaa neema Yesu
Umejaa neema
Neema ya wokovu
Umejaa neema

Umejaa neema Yesu
Umejaa neema
Umejaa neema Yesu
Umejaa neema

Bwana wa Mabwana
Mungu wa miungu
Baba pokea sifa
Maana unaweza

Unaweza unaweza
Unaweza unaweza
Hakuna kama wewe

Untatosha unatosha
Unatosha
Hakuna kama wewe

Hakuna wa kufanana nawe
Hakuna wa kufanana nawe
Unaweza, unaweza
Hakuna wa kufanana nawe

Unatosha unatosha
Hakuna wa kufanana nawe

Mwaminifu mwaminifu
Hakuna wa kufanana nawe
(rudia)

Hakuna wa kufanana nawe
Hakuna wa kufanana nawe
Unaweza, unaweza
Hakuna wa kufanana nawe

Unatosha unatosha
Hakuna wa kufanana nawe

Wanitosha wanitosha
Hakuna wa kufanana nawe

Follow Us On Facebook InstagramTwitter

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *